Fee Structure

AWAMU ZA ULIPAJI WA ADA

Ada ya chuo unaweza kulipa yote unapoanza masomo au kwa awamu mbili au nne kulingana na uwezo wa mzazi. Mchanganuo wa ada umeoneshwa kwenye jedwari hapa chini:-

SEMESTERMAELEZOADA
SEMISTA I 495,000/=Mwanzo wa semista ya I
Katikati ya semista ya I
SEMISTA II 500,000/=Mwanzo wa semista ya II
Katikati ya semista ya II
JUMLA 995,000/= 

6.2 GHARAMA YA MOJA KWA MOJA NA HOSTELI (DIRECT COST AND HOSTEL FEES)

Gharama za moja kwa moja zitalipwa mwanzo wa kila semista au kwa awamu mbili kama jeedwari hapa chini linavyojieleza:-

SEMISTAMAELEZOKIWANGOAWAMU YA 1
Semista IMafunzo kwa vitendo (Practical fee)         
Udhibiti Ubora NACTVET (quality assurance fee)
T-shirt
Stationery na mitihani (Stationery & Exam fee)
Kitambulisho cha chuo (Identity Card)
Semista IIMafunzo kwa vitendo (Practical fee)
Stationery na mitihani (Stationery & Exam fee) 
JUMLA  

6.3 MALIPO YA ADA, HOSTELI NA GHARAMA ZA MOJA KWA MOJA

Malipo yote ya Ada, Hosteli na gharama za moja kwa moja yafanyike kwenye akaunti ya benki ya chuo yenye taarifa zifuatazo:-

Taarifa za benki ya Chuo

Benki:

Jina la Akaunti ya Chuo:

Namba ya Akaunti:

“MT.MARIA GORETTE AGRICULTURE COLLEGE- THE FUTURE OF AGRICULTURE START HERE ”